Tunatafuta kiwanja maeneo ya Buyuni Ilala

Tunatafuta kiwanja maeneo ya Buyuni Ilala

Prof Decentman

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
276
Reaction score
140
Wandugu, habari???

Kwa yeyote mwenye kiwanja maeneo ya Buyuni ulipo mradi wa PSPF au jirani anijulishe.

Aseme ukubwa wa eneo lake na bei.

Karibuni PM au email humble2080@yahoo.com
 
Rafiki fika pale buyuni katika maeneo hayo, mimi nimesikia kimoja block 6, 15m
 
Ninacho sehem nzurii sana sqm 800, 15mil
 
Back
Top Bottom