""Natafuta mteja/wateja wa mifugo mbuzi, kondoo na ng'ombe. Nina uzoefu mkubwa katika biashara hii maana nimeifanya kwa muda mrefu na asili yangu ni ufugaji. Kwa maelezo zaidi piga...
Natafuta mteja/wateja wa mifugo mbuzi, kondoo na ng'ombe. Nina uzoefu mkubwa katika biashara hii maana nimeifanya kwa muda mrefu na asili yangu ni ufugaji. Kwa maelezo zaidi piga namba:0659216426...
Habari zenu member wa Jf.
Kwa mda huu niko Mbeya Nahitaji lain za M-pesa , Tigo- Pesa na Airtel Money, Kwa mtuyoyote aliyo nayo na anaweza na Anauza asisite kuwasiliana na mimi kwa kunipim...
Ni matumaini yangu kua unatatizo ndio maana umefika hapa,
Kabla sijaendelea na dhumuni nililokusudia kueleza au kutatua tatizo ningependa kuweka wazi jambo lifuatalo,
Kuna aina mbali mbali za watu...
Kiwanja kinauzwa Mapinga Bagamoyo.Kilomita moja na nusu toka Bagamoyo road.Kiko kàribu na kanisa na kanisa Katoliki Udinivu.Ukubwa ni 20 kwa 20.Umeme na maji viko kiwanjani.Mawasiliano 0652409259.
Habari wana jf,kw uhitaji wa huduma zifuatazo karibu kwetu;
1) kuchimbiwa kisima ( water well drilling )
2) kufanya Ground water survey
3) kutengeneza submeserble pump zilizo haribika
4) kufunga (...
Iwe imenyooka sana....
Isidaiwe vibali,body isiwe imepigwa rangi.....naaminsha gari iwe nzimaa
Model iwe ya nwaka 2003 na cc zake ziwe ni 1300
Bei ya kununulia ni 9.5mln
Kama unayo tuwasiliane...
Tunauza mbao fupi za dawa zenye kudumu kwa muda mrefu na zisizo weza kushambuliwa na wadudu waalibifu
Pia itakuepusha na utapeli wa futi kwani mbao hizi ni bora sawa na zile ndefu za kupima...
Wandugu nahitaji shamba Mkoani mza. Ikiwa njia ya misungwi safi. Nahitaji kwa ajili ya mifugo hivyo maji ni muhim likiwa karib na ziwa pia ni vizur zaidi.
Tunauza mbao fupi za dawa zenye kudumu kwa muda mrefu na zisizo weza kushambuliwa na wadudu waalibifu
Pia itakuepusha na utapeli wa futi kwani mbao hizi ni bora sawa na zile ndefu za kupima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.