Njombe institute inawatangazia nafasi za masomo kwa kozi mbalimbali za hoteli

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
376
127
Njombe institute inawatangazia nafasi za masomo kwa kozi mbalimbali za hoteli.

Ada zetu ni nafuu sana na chuo kina mazingira mazuri ya kusomea pamoja na vitendo.

Mwanafunzi anatafutiwa kazi mara baada ya kuhitimu kozi.

Sifa za kujiunga ni awe amehitimu darasa la saba, kito cha nne au sits kwa ufaulu wowote ule.

Ewe mzazi/mlezi mlete mwanao kwa kwa mafanikio na ajira zaidi kwa mwanao.

Kwa mawasiliano 0754004189
 
Back
Top Bottom