Habari?
Chumba,sebule,jiko na choo inahitajika kwa haraka maeneo ya Magomeni Mapipa au Muhimbili...
Budget 150,000/= ila inaongezeka kulingana na hadhi ya nyumba..
Nijulishe kupitia 0766444050 au...
Heshima kwenu wote,
Nahitaji kusafirisha tiles box 75,kutoka Arusha kwenda Tanga mjini.
Kwa yeyote mwenye lori linaloleta mzigo Arusha nakurudi Tanga na mzigo kidogo au tupu hilo litanifaa zaidi...
Habari za muda wakuu.
Naomba kujuzwa kama naweza kupata privet hostel maeneo ya Kigamboni, utaratibu wa kupata upoje, vyumba vina ukubwa gani na ni gharama kiasi gani.
Tangazo la Semina ya Ujasiriamali itakayofanyika siku ya Jumamosi 25th/02/2017 Ukumbi wa Golden Rose Arusha Mjini Kwanzia saa 2:00 Asubuhi hadi 12:00 Jioni. Kiingilio Tsh.10,000/=
Semina hiyo...
Natafuta wafasiri wanaoweza kufasiri lugha hizi kwenda katika Kiingereza: Bangala, Kizigula na Mai Mai.
Walio na uwezo huo,tafadhali karibuni inbox.
Asanteni.
Make : Toyota
Model : Noah
Mileage : 110,183km
Engine size: 2000cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
M/Year : 2000
Doors : 4
Seats : 8...
Make : Toyota
Model : Raum
Mileage : 69,900km
Engine size: 1,500cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
M/Year : 2006
Doors : 5
Seats : 5...
Habari wanajamiiforums,
Nahitaji water pump au mota ambayo ni 0.25 HP, 220 V yaani single phase. Je nitapata wapi?
Naomba mwenye kujua zinapopatikana aniambie.
Shukrani kwa wote watakaonisaidia!
nachora katuni za aina mbali mbali mfano za vichekesho, kisiasa,michezo na kijamii kwa wale wenye blogs, newspaper, magazine au anayehitaji huduma ya katuni na picha za kuchorwa aje pm
Ninauza vifaranga wa kienyeji aina ya kenbro,Malawi Na Israel vina wiki mbili chanjo ya merek's,Newcastle,Na gumburo
Nipo moshi mailisita
Mawasiliano ni 0689350805 Na 0621699422 bei @2500
Nina eneo langu nalisafisha kwa ajili ya kuwa shamba,kwa hiyo napata kuni nyingi sana,kama huko maeneo ya Dar na Pwani na unahitaji kuni nyingi kwa ajili ya shule au vitu vingine kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.