Nauza eneo la kuchimba madini ya dhahabu

Eneo likishagundulika lina madini linakuwa Mali ya serikali automatically


Rejea : Land Act
 
Uje in box
Vyote unatakiwa ujibu hapa sasa inbox ili iweje yan sawa na unakuja unasema nauza kiwanja nakuuliza kuhusu kiwanja je kina hati miliki unasema njoo inbox unazani utaaminika ww?pml ina siri gani au huijui? Ni primary mining licence..kama haina pml hilo eneo probable limeshachukuliwa mkuu nenda cadartral kaangalie kwenye ile website unaeza kukuta kuna mtu tayar hapo kwenye hyo plot
 
Back
Top Bottom