No_Worries
Member
- Sep 27, 2016
- 69
- 23
Bro poa ndo shingapi????
Watanzania mbona hamwi wawazi katika biashara???
Hizo zama za kudanganyia watu na bei poa zilienda na Jk wakati pesa iko nje nje
Mkuu, kwa 250k hapana!250k
Kiasi gani unahitaji mkuu?Chukua mia 3
Nahitaji laptop yenye uwezo mzuriKiasi gani unahitaji mkuu?
Laptop zenye uwezo mzuri zimekwisha, zipo acer za 4gb Ram, 2.0Ghz Processor, na 75gb Harddisk na zinauzwa 250,000Nahitaji laptop yenye uwezo mzuri