Nahitaji lain za M-pesa, Tigo-pesa na Airtel Money

Kidume cha mbegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2015
Posts
1,251
Reaction score
710
Habari zenu member wa Jf.

Kwa mda huu niko Mbeya Nahitaji lain za M-pesa , Tigo- Pesa na Airtel Money, Kwa mtuyoyote aliyo nayo na anaweza na Anauza asisite kuwasiliana na mimi kwa kunipim...
 
Mm ninayo m.pesa kama vpi nichek tuongee biashara! 0765190024
 
zipo nyingi tu za m-pesa na tigo pesa kwa 170,000
 
Habari zenu member wa Jf.

Kwa mda huu niko Mbeya Nahitaji lain za M-pesa , Tigo- Pesa na Airtel Money, Kwa mtuyoyote aliyo nayo na anaweza na Anauza asisite kuwasiliana na mimi kwa kunipim...
samahani naingilia uzi.....hivi taratibu za kupata line mpya za Tigopesa au Mpesa zikoje ? bila kununua kwa mtu
 
Namimi samahani kwa kuingilia uzi, kuna tofauti yoyote katika mapato kati ya laini mpya na za kununua kwa watu?
 
Hakuna tofauti ya mapato kwa lain mpya na ya kununua kwa mtu, tofauti ni usajili tu!!!
 
Namimi samahani kwa kuingilia uzi, kuna tofauti yoyote katika mapato kati ya laini mpya na za kununua kwa watu?
Uwe na kitambulisho,tin namba,kuna fomu wanakupa unajaza then unasubiri wiki tatu au NNE(mwezi) unapata pain zako bureeee,Ila sasa wanqchofanya jamaa wa haya makampun wanakuambia toa laki na nusu au laki mbili tukupe Ila haina usajili wa jina lako na hii ni hatari kiasi,,sajili kila kitu kwa jina na vitambulisho vyako
 
Ukituma hivyo vitu sio WK 3 tu kusubr, watu wanasubr zaid ya miez 3 ww, mm mwenyewe ilinitokea hyo, ilibd ninunue ya jina jingine nikute natumia lakn mpaka leo natumia toka 2011, tena ninazo 3 na napga kaz bila shda! Ila pia waweza kubadili jina hyohyo uliyonunua na jna tofauti kwa ktumia vitamburisho vyako!

ANAEHITAJI NIMUUZIE 1 FRESH MAANA MTAJI KUENDESHA ZOTE HII JANUARY UNAPUNGUA, my contacts 0765-190024 Lushoto-Tanga
 
samahani naingilia uzi.....hivi taratibu za kupata line mpya za Tigopesa au Mpesa zikoje ? bila kununua kwa mtu
Elfu 50, mwezi mmoja unasubiria. Peleka nyaraka zako TIN namba na vitambulisho alafu anza kuvuta subra
 
Ukituma hivyo vitu sio WK 3 tu kusubr, watu wanasubr zaid ya miez 3 ww, mm mwenyewe ilinitokea hyo, ilibd ninunue ya jina jingine nikute natumia lakn mpaka leo natumia toka 2011, tena ninazo 3 na napga kaz bila shda! Ila pia waweza kubadili jina hyohyo uliyonunua na jna tofauti kwa ktumia vitamburisho vyako!

ANAEHITAJI NIMUUZIE 1 FRESH MAANA MTAJI KUENDESHA ZOTE HII JANUARY UNAPUNGUA, my contacts 0765-190024 Lushoto-Tanga
Shilingi ngapi? Nipe bei. Ikizidi laki au laki na 20 utulie kwanza
 
Nichek kwenye hiyo namba niliyotoa tubonge biashara!

0765-190024
 
Uwe na kitambulisho,tin namba,kuna fomu wanakupa unajaza then unasubiri wiki tatu au NNE(mwezi) unapata pain zako bureeee,Ila sasa wanqchofanya jamaa wa haya makampun wanakuambia toa laki na nusu au laki mbili tukupe Ila haina usajili wa jina lako na hii ni hatari kiasi,,sajili kila kitu kwa jina na vitambulisho vyako
Kwan gharama halisi ni zipi?
 
Kwan gharama halisi ni zipi?
Kwenye makampuni ni bure Ila uta wait kama wiki tatu au mwezi,Ila wale wafanyakazi wanaweza kukuuzia laki na nusu mpka laki mbili ndan ya siku mbili unaipata
 
Mimi niliuziwa laini za mpesa na moja ya wafanyakazi una maana nililiwa dah
 
Yes sana tu,,,umeshasema mfanyakazi ndio alikuuzia,huwa wanakua nazo ili wakupige danadana njoo kesho njoo kesho mwisho wanakugeuza nabkukuuzia laki na nusu mpka mbili. Ila kampun hua inatoa bure ukiwa na vielelezo vyote kamili
 
Utasota sana kusubr mpaka utaamua kununua tu, mm nilikaa mpaka miez 3 bado haijakamilika ilibd ninunue tu,
 
Back
Top Bottom