KWA YOYOTE MWENYE TATIZO LOLOTE

Deallers in Deal

New Member
Oct 8, 2016
1
0
Ni matumaini yangu kua unatatizo ndio maana umefika hapa,
Kabla sijaendelea na dhumuni nililokusudia kueleza au kutatua tatizo ningependa kuweka wazi jambo lifuatalo,
Kuna aina mbali mbali za watu ambao watalichukulia hili suala katika uzito wa aina yake.
1. Kuna watakao ridhia na wakafanikisha kwa nitakalowaeleza, ningependa kuchukua fursa hii kuwaombea kwa mungu azidi kuwafungulia mafundo yote ya matatizo yaliojifunga na wazidi kufanikiwa.
2. Kuna watakaoridhia ila hawana uwezo wa kufanikisha kwa nitakalowaeleza, hao pia nawaombea kwa mungu awape subira na wapate mafanikio.
3. Kuna watakaobeza na kutukana matusi kwa nitakachowaeleza ,hao pia nishawasamehe kabla ya wao kuanza kubeza na kutukana pia nawaombea kwa mungu pia wafanikiwe.
Nikirudi katika mada napenda kuwajulisha wanajamii kua binaadamu tumeumbwa na matatizo ya kila namna na kwa aina yake na jinsi tofauti katika kuyapokea.
Mimi nina tatizo kubwa kiasi kwamba nimeshindwa kulitatua na ndio kilichonileta kwa wenzangu wenye matatizo kama mimi.
Mimi nina tatizo la ukosefu wa pesa ambapo wengi wetu tumekua na tatizo hilo la ukosefu wa pesa ingawa tumetofautiana katika kiasi cha uhitaji huo wa pesa na lengo la pesa hiyo.
Samahani siwezi kusema pesa hizo nazihitaji kwasababu gani ila unielewe kua nahitaji pesa tena sanna.
Ninachokusudia kusema ni kwamba binaadamu tuliowengi tunamuamini Mungu, na mimi namtumia Mungu huyo kuwaomba msaada wa sadaka ya pesa kwa kiasi chochote ambacho mtu atajisikia kutoa, wakati anakusudia kutoa basi atie nia ya kumuomba mungu kuondosha matatizo yake kwa sadaka atakayoituma.
Matatizo mengi huondoshwa na sadaka, usijali kama unatoa kiasi gani iwe sh 1 au sh 100 zote alimradi ni pesa, utoe sadaka kwa kiasi ambacho unaona hakikuumizi kwako na familia yako.
Wala usijali itikadi ya dini yako, chama chako, kabila lako wala jinsia ndio mana nikaandika hapo juu "Kwa yoyote mwenye tatizo lolote".
Kwa wale ambao watakua wameguswa na shida yangu na kutaka baraka na msaada kwa mungu tia nia na utume katika Mpesa +255 743 698 031.
ASANTENI
 
Back
Top Bottom