binti wa kirombo
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 847
- 959
Bado hujachelewa mnakaribishwa katika maombi ya uponyaji katika kituo cha karismatiki katoliki Ubungo .Kwa watu wa dini zote
"Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi."
Mathayo 11:28-30
"Yesu akamwambia, Leo wokovu umefika nyumbani humu, kwa sababu huyu naye ni mwana wa Ibrahimu.
Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea."
Luka 19:9-10
Karibuni nyote