Habari wana JF
Naomba kufahamishwa sehemu ninayoweza pata mabox ya kubebea vifaranga vya kuku. Mabox hayo huwa yametobolewa ili kuruhusu hewa kuingia wakati vifaranga vinasafirishwa.
Nawasilisha
Nyumba nzuri,mpya na ya kisasa ipo maeneo ya Mbagala chamazi.Imejengwa ktk ubora wa hali ya juu na ipo karibu na barabara na huduma nyengine za kijamii...
Habari zenu waungwana bila shaka mko poa
lengo la kuanzisha Uzi huu ni kuomba kama kuna mdau anaefaham soko la bamia kwa dar,, nina bamia la kutosha nalimia bagamoyo ,,navuna kila baada ya siku moja
Wataalam!!
Kwanza napenda kutoa malalamiko yangu kwa hiyo namba iliyowekwa hapo imeishia na 36, sijui ndo salesmen wao au lah, khaa...hapokei simu, akipokea anaongea uwongo khaaa.....
_BACK TO...
Wanunuzi wa magari yaliyotumika wanapatikana masaa 24, siku saba za wiki.
Kama una miliki gari na unahitaji kuliuza wasiliana nasi tukupatie mtu wa kununua tukuondolee msongo wa mawazo unaoweza...
Nyumba ipo boko/ mianzini dare salaam
Plot size sqm 1000
Haina title deed
Ina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master moja
Ina jiko
Sebure
Na sehemu ya kulia chakula
Pia ina tailiz ndani...
Kwakweli hii mobile application yenu ni nzuri sana.
Kwa watu kama sisi tunaokesha mashambani kulima matikiti inatusaidia sana, ni swala la kuhakikisha tu chaji itakua full, lakini swala la...
I am looking for Accounting Package capable of doing the following:
Inventory Control
Selling
Customers Management
Billing
Human resources / Payroll
Procurement
Financial...
Wakuu natafuta accounting system kwa ajili ya biashara yangu ninayotarajia kuanzisha soon.
Aliyenayo au anamjua mtu aliyonayo naomba ani PM
Ni kwa ajili ya small business
Natanguliza shukrani.
Wana JF,
Kwa kina dada au kina mama, kina baba na vijana, Kama una tatizo la kutokuwa na hamu ya tendo isiyotokana na msongo wa mawazo naomba utuone, tunatumia cleanser kusafisha na badae tuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.