Mbaya zaidi wanavaa muda mfupi tu halafu zinakuwa ndogo kwaoHivi kwann nguo za watoto ni bei ghali kuliko za watu wazima ilhali material inayotumika kutengeneza nguo za watoto ni chache kuliko za watu wazima( kutambaa vifungo na vingine) nahitaji kuelemishwa kuhusu hili,