Miche ya mastafeli inatafutwa

Mimi huwa nakula natunza mbegu. Kama unataka mbegu nitakupa bure ukaoteshe mwenyewe
 
Inapatikana SUA morogoro. Kwa msaada wa haraka haraka follow @miche_ya_matunda590 instagram wasiliana nao. Wanakutumia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom