Natafta Gari ya kununua Fuso tone 4 Tipper

impongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
8,844
Reaction score
7,904
Gari aina ya fusso au Isuzu foward iwe tone 4
 
Kama unanunua mkononi kuwa nakini sana...
vinginevyo utauziwa Kanyaboya ujute...
Naomba Usikurupuke...
Asante Mkuu ni kweli nataka ya mkononi ila Nina uzoefu nitajitahidi kuangalia vizuri
 
Kaka tonne 4ya m20.mkononi bora jiongeze kidogo upate toka japan mojakwamoja utafaidika na itakutoa...Kama upo serious 0655229028 lkn uwe tayari kisubiri wiki 5hada sita ila utapata kitusahihi nakitakufaa...Ukijiongeza kidogo
 
ushauri mzuri sana ... ml 20 utapta lakin ishachoka sana...
 
Kaka tonne 4ya m20.mkononi bora jiongeze kidogo upate toka japan mojakwamoja utafaidika na itakutoa...Kama upo serious 0655229028 lkn uwe tayari kisubiri wiki 5hada sita ila utapata kitusahihi nakitakufaa...Ukijiongeza kidogo
Hujui bei ya gari inayouliziwa hapa unaleta usanii TU, kama ungekuwa unajua usingeoana million 20 in nyingi hata ikiwa namba B.
 
Mkuu kama unayo ni pm
 
Back
Top Bottom