Shedangio JF-Expert Member Oct 11, 2016 448 170 Feb 21, 2017 #1 Habari wakuu naomba msaada mahali ambapo wanauza vifaa vya umeme na solar systems kwa bei za jumla.iwe Dar,Moshi au Tanga. Wawe wanauza bei. nafuu
Habari wakuu naomba msaada mahali ambapo wanauza vifaa vya umeme na solar systems kwa bei za jumla.iwe Dar,Moshi au Tanga. Wawe wanauza bei. nafuu
SIM JF-Expert Member Oct 25, 2011 1,795 1,302 Mar 9, 2017 #3 Shedangio said: Ndo kusema hamjui au? Click to expand... Vuta subira mkuu wahusika watakuja muda siyo mrefu. kule site kwako biashara ya Solar itakufaa sana
Shedangio said: Ndo kusema hamjui au? Click to expand... Vuta subira mkuu wahusika watakuja muda siyo mrefu. kule site kwako biashara ya Solar itakufaa sana
Shedangio JF-Expert Member Oct 11, 2016 448 170 Mar 9, 2017 Thread starter #4 Ndio mkuu ila mazingira magumu Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app