Laptop mpya iko sokoni

Pellman

Senior Member
Feb 13, 2017
195
220
ACER ASPIRE E 15

20170123_052527.jpg

Features

15.6 inches display

Intel Core i5 processor

Windows 10 OS

8BG DDR4 Memory

NVIDIA GeForce 940MX graphics

DVD Super Multi DL optical drive

256 GB Solid State Drive storage

Obsedian Black

475,000/=
 
Sielewi kwa nini hiyo attachment picture haifunguki, mods msaada hapo.
 


Ahsante kwa offer lakini jivute tena rafiki, hiyo offer 300,000/= ni dola ngapi, mia ishirini, mia thelathini, utapata laptop mpya kwa $130 kweli? I wish ningeweza kuitoa kwa 300,000/=, lakini ntaumia.
Hata ingefunguka usingeelewa kilichomo ndan maana nacho kimefungwa

hahahaaaa.... nimerekebisha, nime attach thumbnail picture, angalau naiona hapo moja kwa moja badala ya link ya attachment
 
ACER ASPIRE E 15

View attachment 477266

Features

15.6 inches display

Intel Core i5 processor

Windows 10 OS

8BG DDR4 Memory

NVIDIA GeForce 940MX graphics

DVD Super Multi DL optical drive

256 GB Solid State Drive storage

Obsedian Black

475,000/=


Unauza laptop wakati wenzako siku hizi hawanunui, mambo yote ni smartphone.
 
Mkuu Pellman kuna 375 hapa cash lakini kwa bahati mbaya afya yangu mgogoro!!! Kama upo tayari, naweza kukuongezea na 5K ya nauli kuniletea eneo la karibu!!!

Btw, ungeweka na processor capacity manake ni moja ya mambo muhimu kuyafahamu!!
 
Kama utapata pc yenye sifa hz nijulishe hard disk 1 telabit,, ram 4gb na procesor core ! 5 or 7.... Nijulishe shngap tufanye biashara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom