Niuzie Scientific Calculator

Niuzie Scientific Calculator

Aleyn

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
23,340
Reaction score
40,751
Habari Wakuu!?

Nina haja na Calculator tajwa hapo juu, nimeenda pale DIT wanauza 35,000 na mwisho 30,000. Binafsi kwa sasa sina hiyo pesa.

Kama unayo na unaweza ukanisaidia ninaomba tuwasiliane PM.
 
Mkuu hapo umenipiga chenga, mimi nataka niitumie kwa ajili ya mahesabu ya kibiashara chuo.
Kama ni ya biashara, mbona zipo mpk za 25,00/= mkuu! ! Tena ni hapo k'koo. Nenda duka la Nyambari bookshop
 
Habari Wakuu!?

Nina haja na Calculator tajwa hapo juu, nimeenda pale DIT wanauza 35,000 na mwisho 30,000. Binafsi kwa sasa sina hiyo pesa.

Kama unayo na unaweza ukanisaidia ninaomba tuwasiliane PM.
Calculator ya box ipo. fx-991 MS. Bei poa kabisa.
 
Back
Top Bottom