wakuu nahitaji gari used toyota probox iwe namba D au C iwe haijawah kubadilishwa rangi
nipo Moshi
budget yangu ni 6 million
inaweza kupanda kidogo kutokana na quality ya gari mawasiliano...
....Nauza viti na meza yake vinafaa sana kwa ajili ya kuweka sehemu ya dinning au Officene au kuweka kwa nje kwa ajili ya kupumzikia... Ni vizuri sana.. Ni product kutoka South Africa... Bei ni...
Yeyote auzaye fridge kwa bei hiyo ani PM atume na ka picha
Fridge (najua itakua used) lakini iwe katika hali nzuri, iwe na uwezo wa kugandisha vizuri kwa sababu naihitaji kwa shughuli hiyo
*Nipo...
20M*24M , kipo chanika lukooni , kutoka barabara ya rami(videte) nikama 500M na kutoka chanika stendi 900M . Njia ni nzuri ,panafikika kirahisi kwa gari , umeme upo karibu na nisehemu iliyojengeka...
UBUYU WA BABU ISSA ,kindoo kidogo sh 40,000,pakti 1500 jumla ni 1000, Ubuyu mtamu wenye ladha ya kipekee kutoka kwa babu Issa Zanzibar,karibu uanze biashara kwa mtaji Mdogo na faida Mara...
HEBU JITAFAKARI JE UMEANDIKIWA KUISHI MAISHA UNAYOISHI SASA HUYU KAKA Anaitwa Hassim Orison Shayo,ni Senior manager wa Oriflame
alianza Oriflame tareh 6/6/2016 Yaani mwaka Jana.. Ana miezi...
Jibu la matatizo lipo Bora Computer Solution.
Tunatengeneza laptop na desktop aina zote, tunabadilisha Operating System(OS) kama vile Windows 7, 8, 10 na kwa mahitaji ya kubadilisha vioo vya...
Swali ni Mimi ni mtumishi wa uma upande wa elimu ila nina certificate nilitaka nikasome diploma nchini Kenya inawezekana na gharama zikoje na je nkirudi naweza panda mshahara kama wenzangu?Asanteni.
Kuroiler ni kuku wa kienyeji mwenyewe asili kutokea India.
1. Anakua kwa haraka
2. Ana anza kutaga akiwa na umri wa miezi 4 na nusu..... Na atataga kila siku kwa miaka 2
3. Ana ongeza uzito kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.