Vitabu vya Ben Mtobwa vinapatikana sasa.

Vitabu vya Ben Mtobwa vinapatikana sasa.

nameless girl

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
4,195
Reaction score
2,689
Kwa wale wapenzi wa vitabu vya marehemu Ben Mtobwa sasa vinapatikana.
Kuna aina kumi na mbili za vitabu hivyo kama ifuatavyo;
1. Tutarudi na roho zetu?
2. Salamu toka kuzimu
3. Malaika wa shetani
4. Mikononi mwa nunda
5. Najisikia kuua tena
6. Mikataba ya kishetani
7. Mtambo wa mauti
8. Roho ya paka
Hapo juu vyote ni vya kipelelezi na bei yake ni 10000 kwa kila kimoja.
9. Zawadi ya ushindi 7000
10. Pesa zako zinanuka 10000
11. Dar es salaam usiku 10000
12. Kiguu na njia 15000
Kwa wanaohitaji piga simu namba 0763044459 au 0712707763
Tupo Dar es salaam posta mpya, kariakoo, kinondoni na Bunju. Karibuni sana.
 
Back
Top Bottom