Nauza simu Tecno Phatoom 6

Mzaleee

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,943
3,697
Wakuu habari zenu ...Kama tittle inavyo jieleza nauza cm mpya haitumika sababu ya kuuza ni kuwa nimenunulia mama imemushida kutumia anataka cm ndogo portable , specification ni kama hv;
Internal memory 32gb
Camera mbele na nyuma no 23mp
Android version ni 6
Ina Hips
Naambatanisha na picha
IMG-20170224-WA0007.jpg
IMG-20170224-WA0006.jpg
IMG-20170224-WA0005.jpg
IMG-20170224-WA0003.jpg
IMG-20170224-WA0002.jpg
 
Bei laki 4 (400k) maelewano yapo napatikana Dodoma.
 
Wakuu bei ya hii cm imepungua baada ya kugundua watu wana khali mbaya kiuchumi sasa imekuwa 250k badala ya 400k
 
Hivi phantom 6 kwa laki 2 halaf Dodoma mbona kama inanipa mashaka kiongozi.

Hebu nitoe wasiwasi mkuu wee uliinunua kwa bei gani mkuu...?
 
Mbona matangazo ya kuuzwa kwa simu za Tecno yameshamiri sana? Kuna nini kimetokea kwenye hizi simu?
 
Hivi phantom 6 kwa laki 2 halaf Dodoma mbona kama inanipa mashaka kiongozi.

Hebu nitoe wasiwasi mkuu wee uliinunua kwa bei gani mkuu...?
Mpya inauzwa laki 5 sa akifanya nusu unashangaa.. Mbona 400k umeshindwa?
 
Hii ni copy ya tecno phantom6,
Sasa tecno yenyewe tu ni werevaa imagine ikiwa copy inakuaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom