Nyumba self contained inauzwa

BMB5

Senior Member
Sep 14, 2013
196
8
ipo kisemvule nje kidogo ya dar ni chumba na sitting room choo ndani pia ina frem mbili moja aijaisha na pia mbele bado ina eneo la kuweza jenga nyumba kubwa. bei milioni 19 nicheki 0718097972 samahani picha zinakataa njoo whatsaap pls
 
Kisemvule ipo mwelekeo wa wapi? Ni Km ngapi toka Dar centre mpaka hapo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom