Nahitaji mashine ya 2jzge au 3sge

Nahitaji mashine ya 2jzge au 3sge

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,201
Reaction score
6,268
Habari wakuu, nahitaji mashine moja kati ya hizo tajwa hapo juu, nani alokuwa nayo au anaemjua mtu anaeuza mashine za gari
 
Mtaalamu ulivyoandika nadhani umewaandikia wataalamu wa magari na si watu wa kawaida,ungeandika ki-layman hili hata makanjanja wa magari waweze kujua eg ungeandika nahitaji injini ya gari za zinazokuja kwenye Rav4(mtu atajua kabisa hapa 3S)
 
Naamini wataalamu wapo, anyways natafuta mashine za altezza four cylinders (3sge) au kama za brevis au lexus gs300 (2jge).
 
HIZO ZOTE ZIPO MKUU PESA YAKO TUU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom