Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

LAPTOP AINA YA HP PAVILION G6 intel CORE(TM) i3-(3110M) yenye processor ya 2.4Ghz 4GB RAM,500GB HDD(Battery needs replacement).....kwa 350k vijana ambao mnaingia chuo changamkieni fursa hii kwa...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Mwenye desktop yenye flat screen na CPU box ya wastan sio likubwa au Yale ya zamani.. 0754004189.. Nataka kwa matumiz ya ofic. Haina ulazima wa kuwa na HHD kubwa hata kama ni 120GB. Kama ni HHD...
0 Reactions
5 Replies
928 Views
Wakuu nauza dish savers, ziko mbili, kila moja ni 150,000tshs pungufu unaongea. Nimezitumia kwa muda mfupi sana hivyo bado mpya kabisa, zinadai, Nilikua nazitumia kwenye mgahawa wangu ila sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tuna photocopy machines za aina ya Canon (Image runner) na Xerox zenye uwezo tofauti kulingana na uwezo wako au mahitaji yako. Bei zake Canon IR2200 (Speed 22 cpm) bei TZS 1,900,000 Canon IR2800...
1 Reactions
4 Replies
13K Views
Ninauza Suzuki Vitara , 3Door, FWD. Good condition. Imemilikiwa na mtu mmoja kabla yangu. Piga Simu 0715 601605 ipo Morogoro
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je umesikia kuhusu adspesa, ni kwa wote wenye blog au website mwaweza pata adse zakuweka kwenye blogs zenu kupitia adspesa. Tembelea website ya adspesa upate matangazo uanze kutengeneza hela...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nyumba ni ya kisasa, ina vyumba 4 vya kulala (1master bedroom), Sitting & dining room, jiko la kisasa, store, choo cha public, tiled, gypsum, paving block, kisima cha maji, fensi na parking ya...
1 Reactions
4 Replies
9K Views
*HABARI NJEMA* CRM FINANCIAL SERVICES, ni kampuni inayojishughulisha na miradi ya *Mifugo, Ufugaji na kilimo* iliyopo mbezi beach tangi bovu jilani na jengo la mbezi Park, tunatoa huduma...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Ndugu zangu haya mafuta original wanauza 75,000/kama unajua mahali pengine kwa bei nzuri naomba niambie,Mazuri saana ,sasa yana karibia kuisha na muhusika simpati Kabisa hewani,ni mazuri mmmno kwangu,
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Kuku wa kisasa wa nyama kwa ukubwa tofauti tipo manzese tunaleta popote ulipo kwa mawasiliano njoo DM tufanye biashara
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Gb500 location dsm
0 Reactions
0 Replies
471 Views
Wakuu, Kuna mtu anahitaji gari - RAV4, AUTOMATIC Transmission, 3 or 5 doors. Rangi yoyote isipokuwa Nyeupe. Hana mpunga wa kutosha kwenda Showroom. Aliye na mpango wa kuuza la kwake anicheck PM
0 Reactions
2 Replies
592 Views
Jipatie dawa yenye kuzuia harufu mbaya mdomoni na kuzuia fizi kutoa damu wakati kuswaki Pia hukinga na kuponya meno kuoza. Nikeitumia na imenisaidia sana ndio maana naileta kwenu. Bei ni sh...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Hellow!, Printer ndogo inatafutwa iwe aidha; 1. Ina print tu 2. Ina print and can produce copies 3. Iwe kubwa kiasi, na ya bei nafuu. Iwe portable, sihitaji yale makubwa 4. Iwe INA spidi nzuri ya...
0 Reactions
0 Replies
639 Views
Happy skin; Ziko mbili Happy Skin for Normal skin na Happy Skin for Extra Dry Skin. Happy Skin for Normal skin (ya blue); - imetengenezwa kwa kutumia maziwa na mafuta ya sesame. - huipa...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Mashine ipo katika hali nzuri kabisa . ina tatizo moja la kiufundi nalo ni haitoi sauti tatizo hili limeanza hivi karibuni mafundi mtakua mnajua sababu yaweza kua nini . yaweza kua drivers or...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari Naomba kufahamu kama hapa kwetu Tanzania kuna supplier wa mashine ambazo zinatoa chumvi kwenye maji. Mashine iweze kutumia solar. Maji ya kisima cha ardhini.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Vyumba viwili ya kulala, sebule, jiko, tiled, choo cha ndani na nje, fenced, nafasi ya kupaki magari ndani ya fence, laki tatu na nusu kwa mwezi Contact: 0767686874 0653233987
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bei Mil 9 mawasiliano 0717760515
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Back
Top Bottom