ROUSHUN LOTION

Chikititata

Member
Sep 26, 2016
33
13
Ndugu zangu haya mafuta original wanauza 75,000/kama unajua mahali pengine kwa bei nzuri naomba niambie,Mazuri saana ,sasa yana karibia kuisha na muhusika simpati Kabisa hewani,ni mazuri mmmno kwangu,
IMG-20170220-WA0018.jpg
 
Pole sana lakini ukikosa kabisa karibu kutumia bidhaa zilizote ngenezwa kwa kutumia malighafi asilia na kampuni ya Oriflame, hayachubui bali kulinda na kusaidia afya ya ngozi yako..
Na bei zetu ni nafuu zaidi..
Ukiwa tayari unaweza wasiliana nami kwa simu namba 0672416294
 
Back
Top Bottom