Body lotion nzuri isiyo na viambata sumu (chemicals)

Mar 22, 2017
37
44
95c17fae795c60ac50f85751e3d74f09.jpg


Happy skin;

Ziko mbili Happy Skin for Normal skin na Happy Skin for Extra Dry Skin.

Happy Skin for Normal skin (ya blue);
- imetengenezwa kwa kutumia maziwa na mafuta ya sesame.
- huipa ngozi unyevu unyevu
- hulainisha ngozi
- kuepusha ngozi kupatwa na matatizo kama mba na miwasho.
- husaidia ngozi kuwa na rangi nzuri na ngozi nzuri na yenye afya.
- haina jasho

Happy Skin for Extra Dry Skin( ya njano);
- imetengenezwa kwa kutumia mbegu za maboga na maziwa.
- huipa ngozi lishe na unyevu unyevu.
- huepusha matatizo ya ngozi yatokanayo na ukavu.
- pia huipa ngozi muonekano mzuri.
- haina jasho

Karibu kila moja inapatikana kwa tsh 27,000/=

Namba yangu ni 0672416294 ukihitaji bidhaa wasiliana nami
 
Back
Top Bottom