Offer ya kiwanja kwa siku tatu tu Mwembe mtengu kwa shillingi millioni moja na laki mbili ukubwa wa miguu 27 kwa 23 ila hati bado haijatoka ina makabidhiano ya serikali ya kijiji...mwenye...
Perfumes za kiume zipo 13 na za kike 14 tofauti tofati, zenye manukato mazuri na tulivu. Hukaa kwenye nguo kwa siku nzima na ukifua bado nguo yako itanukia tu..
Nitakuuzia kwa punguzo la bei kwa...
Inatoa huduma za kitalii southern and other parts of TANZANIA
Huduma Kama vile
1.TENTED/CAMPING SAFARI
2.MOUNTAIN CLIMBING
3.BEACH HOLIDAY
4.FOOD TOURISM
5.CULTURAL & PLANTATION TOURISM...
LAPTOP AINA YA HP PAVILION G6 intel CORE(TM) i3-(3110M) yenye processor ya 2.4Ghz 4GB RAM,500GB HDD(Battery needs replacement).....kwa 350k vijana ambao mnaingia chuo changamkieni fursa hii kwa...
Mwenye desktop yenye flat screen na CPU box ya wastan sio likubwa au Yale ya zamani.. 0754004189..
Nataka kwa matumiz ya ofic. Haina ulazima wa kuwa na HHD kubwa hata kama ni 120GB. Kama ni HHD...
Wakuu nauza dish savers, ziko mbili, kila moja ni 150,000tshs pungufu unaongea.
Nimezitumia kwa muda mfupi sana hivyo bado mpya kabisa, zinadai, Nilikua nazitumia kwenye mgahawa wangu ila sasa...
Tuna photocopy machines za aina ya Canon (Image runner) na Xerox zenye uwezo tofauti kulingana na uwezo wako au mahitaji yako.
Bei zake
Canon IR2200 (Speed 22 cpm) bei TZS 1,900,000
Canon IR2800...
Je umesikia kuhusu adspesa, ni kwa wote wenye blog au website mwaweza pata adse zakuweka kwenye blogs zenu kupitia adspesa. Tembelea website ya adspesa upate matangazo uanze kutengeneza hela...
Nyumba ni ya kisasa, ina vyumba 4 vya kulala (1master bedroom), Sitting & dining room, jiko la kisasa, store, choo cha public, tiled, gypsum, paving block, kisima cha maji, fensi na parking ya...
*HABARI NJEMA*
CRM FINANCIAL SERVICES, ni kampuni inayojishughulisha na miradi ya *Mifugo, Ufugaji na kilimo* iliyopo mbezi beach tangi bovu jilani na jengo la mbezi Park, tunatoa huduma...
Ndugu zangu haya mafuta original wanauza 75,000/kama unajua mahali pengine kwa bei nzuri naomba niambie,Mazuri saana ,sasa yana karibia kuisha na muhusika simpati Kabisa hewani,ni mazuri mmmno kwangu,
Wakuu,
Kuna mtu anahitaji gari - RAV4, AUTOMATIC Transmission, 3 or 5 doors. Rangi yoyote isipokuwa Nyeupe. Hana mpunga wa kutosha kwenda Showroom.
Aliye na mpango wa kuuza la kwake anicheck PM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.