Hellow!,
Printer ndogo inatafutwa iwe aidha;
1. Ina print tu
2. Ina print and can produce copies
3. Iwe kubwa kiasi, na ya bei nafuu. Iwe portable, sihitaji yale makubwa
4. Iwe INA spidi nzuri ya kutoa photocopy, isiwe ya kusubiria mda mrefu karatasi kutoka
5. Machine type; LaserJet, Etc..
Wenye kuuza hiyo kitu tutafutane, kuna order ya printer mbili zinazotafutwa. Weka bei yako pamoja na picha alafu tuwasiliane kwa uzuri kabisa.