Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,720
- 1,639
Natafuta simu
Samsung galaxy s5 used
Isiwe na shida yoyote
Iwe na uwezo wa kutunza Betri
Isiwe na mipasuko kwenye kioo
Budget ni Tsh laki mbili, sina zaidi ya hapo
Aliye nayo anaweza kuniPM
Samsung galaxy s5 used
Isiwe na shida yoyote
Iwe na uwezo wa kutunza Betri
Isiwe na mipasuko kwenye kioo
Budget ni Tsh laki mbili, sina zaidi ya hapo
Aliye nayo anaweza kuniPM