RAV 4 Inahitajika

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
11,400
20,676
Wakuu,

Kuna mtu anahitaji gari - RAV4, AUTOMATIC Transmission, 3 or 5 doors. Rangi yoyote isipokuwa Nyeupe. Hana mpunga wa kutosha kwenda Showroom.

Aliye na mpango wa kuuza la kwake anicheck PM
 
Weka Budget yake na pia useme anataka rav4
Model ya mwaka gani?

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom