Weka namba au ni inbox mm ninacho,zingiziwakisipungue 20*20, kiwe kina hati kwa anaeuza
Jirani yangu anauza 5mil 20*20 ila hakina hati. Chanikakisipungue 20*20, kiwe kina hati kwa anaeuza
laki 8Mvuti ninacho kina hati ,20*20 unanunua bei gani?
Mwandikie Email moderator.Msaada waungwana nataka nibadili id yangu sijui nafanyaje.
Hati yenyewe kuipata local gvt ni laki 2,kununua nimenunua ml.2 ,usafir niliotumia plus muda nilioupoteza kufuatilia jibu unalo, na ardhi huwa haiuzwi bei uliyoinunulia ,ni tofauti na unavyonunua gari au pikipiki ambavyo ukinunua ukitoka nayo tu dukani inapungua bei.Be serious my best.laki 8
20*20 ni sawa na squaremeter ngapi naomba mnijuze.Mvuti ninacho kina hati ,20*20 unanunua bei gani?
Sqm 40020*20 ni sawa na squaremeter ngapi naomba mnijuze.
Ha ha haaa...unajua maana ya square kweli au umeuliza tuu?!!20*20 ni sawa na squaremeter ngapi naomba mnijuze.
sijui ndio maana nikauliza, ukinielewesha utakuwa umefanya la maana sana.Ha ha haaa...unajua maana ya square kweli au umeuliza tuu?!!
Ilo neno square lilifaa kua jibu kwako!!!
ooh ok, Asante.Sqm 400