Dawa ya kinywa

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,818
7,106
Jipatie dawa yenye kuzuia harufu mbaya mdomoni na kuzuia fizi kutoa damu wakati kuswaki

Pia hukinga na kuponya meno kuoza.

Nikeitumia na imenisaidia sana ndio maana naileta kwenu.

Bei ni sh 20000 kwa chupa
Mawasiliano. 0719094595
Mahali ni mlimani city
Kwa mliopo dar nafanya delivery
Muda wa kuuza ni kuanzia saa saba mchana mpaka saa nne usiku
 
Maana mimi pia nilikua na hilo tatizo la kuswaki lakini kuna dawa niliinunua nimeanza kuitumia juzi na hadi hivi sasa navyoandika, sioni hilo tatizo tena. Inauzwa 5000 tu
Taja jina MKUU pia Inapatikana wapi .Ahsante
 
Kichupa chake hakina kibandiko, ila inauzwa na daktari mmoja wa tibambadala. Anaitwa dk joel anapatikana mkoa wa mara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom