gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,305
- 3,327
Habari wanajamvi.
Naomba kufahamu kuhusu soko la ng'ombe vingunguti, nahitaji niende nikafahamu machache kuhusu biashara hii ya ng'ombe.Naomba kufahamishwa:
1)Je mnada wa ng'ombe una siku maalumu?
2)Je mnada unakua siku nzima ama muda fulani?
Natanguliza shukrani.