Nyumba ina pangishwa
Mahali:kimara stop ova
_______________________
Malipo: laki 3 kwa mwezi (malipo miezi 6)
2 bed rooms kimoja master
Tiles:yes
Gypsum:yes
Parking:yes
Maji na umeme full...
Mwenye kujua zinakopatikana dawa hizi za meno anipe msaada kwani nataka kwa bei ya jumla
Vigordoctor
Super fresh
Sensitive
Dentix
Triple action
Sensodine
Naomba ani pm tafadhari
kama kichwa kinavyojieleza ni mashine ya ku dublicate cd
ina cd port nane na ipo katika hali nzuri
mashine hii itawafaa wamiliki wa studio za kuzambaza movies za nje kupitia ku download
bei...
Mwalimu wa masomo ya ujasiriamali nipo kwa ajiri yenu
Kwa wale tu wanaohitaji mafanikio katika ujasiriamali nipo kwa ajiri ya kukupa ushauri ,kujibu maswali Na Na mahitaji ya VITABU vya...
Habari za majukumu wapendwa
Ninapenda kuwajulisha ninauza viwanja vilivyopimwa eneo la Kibaha-Pangani Block 'U' Plots 182-213 vya ukubwa tofauti.
Bei ni Tshs 5500/sqmtr
Kwa mawasiliano napatikana...
Nauza Samsung flat screen ipo ya 32inch ledtv h4100, ina mwaka mmoja, Bei 500000.
Na ipo Samsung ya 55inch, ledtv j5100, series 5 ina miezi 9. Bei 1.5m nakupa na lisiti yake.
Sallam wakuu..poleni na majukumu ya wiki..tumerudi tena na mzigo mwingine wa nyumba.Nyumba zipo kisasa dodoma na Area D Dodoma mjini barabara..maji. na umeme ni uhakika na nyumba zina hitaji...
AFYA BORA
Wakati mwingine tunajiletea maradhi pasipo kufuata kanuni za Afya
Wengi wetu hatuna desturi ya unywaji wa maji yaliyo salama na safi,
Watalaamu wanatushauri tuzingatie afya zetu kwa...
Habari zenu wana jamvi. Nauza plot ipo kongowe ya mbagala ni km 1 kutoka barabara kuu ya kwenda kigamboni. Ukuwa ni Ft 25 kwa 30 kwa bei ya 10mil. Ambaye yupo tayar anicheki kwa number 0620685450
Kama kichwa kinavyojieleza
Nahitaji Gari aina ya Coster iliyo kwenye ubora na viwango vyote vya kubeba Familia. Safari itaanzia Morogoro, Tanga, Mombasa na Nairobi.
Idadi ya abiria haizidi 12...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.