NAUZA COMPUTER HP 100K (FAST DEAL)

piompio

Member
Feb 25, 2017
98
44
Mashine ipo katika hali nzuri kabisa . ina tatizo moja la kiufundi nalo ni haitoi sauti tatizo hili limeanza hivi karibuni mafundi mtakua mnajua sababu yaweza kua nini . yaweza kua drivers or else.

Sifa za computer

HARD DISK580 GB DVD DRIVE
3.5 GB OF RAM.
Window 7


Bei 100k (very fixed)

Location : dar ,chang'ombe tmk
8329665-monitor-hp-1530-1.jpg
83-256-132-05.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom