Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ingia leo katika hii droo ya kumtafuta mshindi kwa kujiunga ni rahisi fuatilia hapa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kama utakuwa unahiitaji nicheki kupitia call au watsup 0657339695
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kampuni ya CRM Financial Services iliopo Mbez bich Tank bovu sasa wanakuwezesha kupata huduma za chakula Kama nyama Na kuku popote ulipo jilani na mji bure kabisa endapo utaagiza zaid ya kilo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Samahani wanajamvi, Kwa mwenye laptop used ya bei nafuu iwe kwenye condition nzuri tuwasiliane tufanye biashara 0621036695. Nahitaji aina yoyote BT Kama itapatkana macbook itakuwa poa zaidi.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
habarini wadau Kwa wale wote wenye shughuli au sherehe zenu na hamjui mfanyaje kuziplan sherehe zenu, wala hamjui muanzie wapi? Mimi ni mtaalamu wa kupanga budget ya harusi, sherehe yako jinsi...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
habarini wanaforum, kama kichwa cha habari hapo juu kinavosema. natafuta business partners wa kufanya nao magazine yangu ambayo tayari nimeshaanza kuifanya nikiwa na wenzangu na mpaka sasa...
2 Reactions
2 Replies
676 Views
Habarini wakulima na wafanyabiashara ninauza kitunguu maji zipo heka mbili shamba lipo meatu mkoani simiyu vipo tayari kwa kuvunwa mbegu n red bombay, Kwa wanaofahamu wale wanunuzi wa kenya...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Shindano kubwa kutoka CarfromJapan (CFJ), Jumla ya zawadi zote ni dola 20500 na zawadi ya kwanza ni uchague gari la thamani ya dola 5000 na mahindi wa pili uchague gari la dola 3000. Kwa maelezo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Lina ukubwa wa ekar 20 Miti ina miaka 2 toka lipandwe Bei ni milion 6 na nusu Linapatikana ktk tarafa ya lupembe mkoani njombe, Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929,0655726929 na whatsapp...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Njoo ukope kwa riba ndogo,tuko Mwanza mkopo wetu ni kuanzia milioni Moja na kuendelea..kama unahitaji tuwasiliane kwa 0742159555
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Bado iko poa kabisa .. 1.2M
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Bado Blackberry passport inauzwa bei poa ya haraka. Kwa a naetaka anipigie 0626104816.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiwanja kina ukubwa wa square metre 2500 dodoma mjini eneo la kisasa mwangaza kina hati na kila kitu muhimu..bei milion 27 hot deal..call 0714140579
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza dish la zuku na vifaa vyake (decoder, dish,remote) limetumika kwa mwaka mmoja. Bei 50,000/= ninapatikana Dar es Salaam
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa Ninauhitaji na lg smart tv used au mpya kwa mpya naomba kupata mwongozo wa bei kwa used toa bei nikifika tuelewane 0783848802
0 Reactions
6 Replies
892 Views
Nna 4.5 mil . Nahitaji vitz , swift au cammy .
0 Reactions
5 Replies
784 Views
Ni kiwanja changu mwenyewe nakiuza nilikinunua mwaka 2010 Nikakata upande nimejenga uliobaki nauuza upana ni hatua za kutembea 25 na urefu pia ni hatua 30. Ni uwanja wa pili kutoka barabarani...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wana jamii forum Ni fursa adhimu hii sasa unaweza kutimiza adhma yako uliyojiwekea siku nyingi ya kimiliki kiwanja na kujenga mjini. Habari za kodi ya nyumba kila mwezi inachosha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom