INAUZWA Nyama ya Ng'ombe,kuku tunakuletea popote ulipo free bila garama ya usafir

cutebrown

Member
Feb 23, 2016
69
40
Kampuni ya CRM Financial Services iliopo Mbez bich Tank bovu sasa wanakuwezesha kupata huduma za chakula Kama nyama Na kuku popote ulipo jilani na mji bure kabisa endapo utaagiza zaid ya kilo tatu. Bei zetu Ni nafuu kabisa

Nyama kg 6000
Maini Kg 9000
Stek Kg 9000
Filet kg 8000
Tborn kg 7000
Nundu kg 6000
Jembe kg 6000

Kuku wakienyeji 25,000
Kuku wakisasa 7000
Agiza sasa nauletewe free....

kwamaelezo zaidi au kutoa order tupigie 0757783401
0712183055
 
Kampuni ya financial services inauza nyama? Magu noma hadi wawekezaji wanabadilisha gia angani. Tusishangae kuskia kampuni ya uchimbaji madini inafanya biashara ya kuuza maua
 
Kampuni ya financial services inauza nyama? Magu noma hadi wawekezaji wanabadilisha gia angani. Tusishangae kuskia kampuni ya uchimbaji madini inafanya biashara ya kuuza maua
Ww acha uzuzu..umesoma memorandum ya na ukaona list ya activities wanazoruhusiwa kufanya? Usimeze tu mambo ukisikia financial services!
 
Mbona bei zenu kubwa?mchepuko wangu anapenda sana maini na huwa ananiambia 1kg ananunua 8000 nyinyi mnauza 9000.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom