Kwanini mkuu unaiuza wakati iko poa?
Kama utakuwa unahiitaji nicheki kupitia call au watsup 0657339695
Bado hizo specifications zako hazijashibaUWEZO WAKE NI KAMA IFUATAVYO.
CORE 2
RAM GB 2
CHARGE 1.5 HOURS
Acha utani 4GB Kwani imekuwa simu hiyo maana kwa hard disk ya ukubwa huo hata window huwezi weka na napata mashaka hata hizo specification ulizo weka hapo juu hazina ukweli.Hard disk ni 4GB mkuu
HDD 4GB? Hata simu yangu yenye GB 8 inaizidi laptop yako.Hard disk ni 4GB mkuu