VIWANJA VINAUZWA BILA RIBA

Baba wa Mapaka

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
1,826
1,652
Habari za asubuhi wana jamii forum
Ni fursa adhimu hii sasa unaweza kutimiza adhma yako uliyojiwekea siku nyingi ya kimiliki kiwanja na kujenga mjini.
Habari za kodi ya nyumba kila mwezi inachosha badala yake unaweza kulipia kiwanja kidogokidogo kwa muda wa miezi 12.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi
IMG-20170329-WA0010.jpg
 
naomba kujua kama viwanja tajwa vina hati.

Ukweli mimi ni mgeni, ndio maana nikamuuliza mleta uzi kujua kama tangazo lake linahusiana na kampuni nyingine ya viwanja inaitwa VKP. Hao VKP ndio nawafahamu na wanatoa hati.
 
Back
Top Bottom