Shamba lenye miti ya mbao aina ya pine linauzwa

wolter makoga

Member
Mar 5, 2017
31
9
Lina ukubwa wa ekar 20
Miti ina miaka 2 toka lipandwe
Bei ni milion 6 na nusu
Linapatikana ktk tarafa ya lupembe mkoani njombe,
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929,0655726929 na whatsapp 0742188846
Kilimo chenye faida ni kilimo cha miti ya mbao
 
Elezea vizuri mkuu!!! Miti ya aina gani? Picha mhimu pia, panafikika kwa gari? Unavuna baada ya miaka mingapi?
 
Lina ukubwa wa ekar 20
Miti ina miaka 2 toka lipandwe
Bei ni milion 6 na nusu
Linapatikana ktk tarafa ya lupembe mkoani njombe,
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929,0655726929 na whatsapp 0742188846
Kilimo chenye faida ni kilimo cha miti ya mbao

kaka walter kwa bei hiyo ni gharama sana kwa heka moja ni equivalent to 3 M,hapo kwa vijiji vya huko huwa wanauza 1M kama miti ni miaka 2

Na hapo lupembe ni kijiji gani Ikan'gasi au Itambo au wapi be specific

na shamba lipo loadside?
 
Mkuuu hesabu zimekupita kushoto,anyway kwakukusaidia tu achana na matapeli hawa..hakuna shamba la miti linalouzwa bei ya kutupwa hivyo, ekari 20 ya miti yenye miaka miwili haipungui milioni 20 kwa wastani wa ekari moja milioni moja ,niko matembwe hapa kwa wakulima original wa Pine
 
mmmh huyu mleta mada msiingiee kichwa kichwa mtalizwa hiyo bei ni very cheap .nafanya hii busnes .
 
Siyo gharama mkuu
Ipo kijiji cha Mfiriga
Na barabara inafikika
 
Mkuuu hesabu zimekupita kushoto,anyway kwakukusaidia tu achana na matapeli hawa..hakuna shamba la miti linalouzwa bei ya kutupwa hivyo, ekari 20 ya miti yenye miaka miwili haipungui milioni 20 kwa wastani wa ekari moja milioni moja ,niko matembwe hapa kwa wakulima original wa Pine
Ndugu usikiri kila mtu tapeli Kama unaona jambo halikuhusu tulia
Sio unamchafua mtu usie mjua
 
mmmh huyu mleta mada msiingiee kichwa kichwa mtalizwa hiyo bei ni very cheap .nafanya hii busnes .
Ndugu acha kutoa lugha za kuudhi
Hii biashara ni ya kweli na uhakika na Mimi nawashauri anayetaka asiingie kichwa kichwa ila wewe acha kuchafua ndugu yangu Kama wewe huwezi acha wengine wapate fursa
 
Back
Top Bottom