Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,493
- 5,009
Habari wanajukwaa Ninauhitaji na lg smart tv used au mpya kwa mpya naomba kupata mwongozo wa bei kwa used toa bei nikifika tuelewane 0783848802
Ninayo Samsung series 4, 32inch,h4100 nauza 450000.Habari wanajukwaa Ninauhitaji na lg smart tv used au mpya kwa mpya naomba kupata mwongozo wa bei kwa used toa bei nikifika tuelewane 0783848802
Ninayo Samsung series 4, 32inch,h4100 nauza 450000.
IPO na ya inch55, series 5, j5100 nauza 1.5m
0713961638Weke no.yako ya cm wew unaeuza tukupigie tunahitaji
lg 3D SMART TV 50" mdel:47LM6410 USED BADO IKO POAA ONLY 800000 MAONGEZ YAPO KIDUCHU.....KARIBU.Habari wanajukwaa Ninauhitaji na lg smart tv used au mpya kwa mpya naomba kupata mwongozo wa bei kwa used toa bei nikifika tuelewane 0783848802