Ni kiwanja changu mwenyewe nakiuza nilikinunua mwaka 2010
Nikakata upande nimejenga uliobaki nauuza upana ni hatua za kutembea 25 na urefu pia ni hatua 30. Ni uwanja wa pili kutoka barabarani...
Habari za asubuhi wana jamii forum
Ni fursa adhimu hii sasa unaweza kutimiza adhma yako uliyojiwekea siku nyingi ya kimiliki kiwanja na kujenga mjini.
Habari za kodi ya nyumba kila mwezi inachosha...
FOR SALE
DOCUMENTS; LOCAL GOVERNMENT
PLOTSIZE ; 22/25 ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ DATE LISTED: 29 MARCH 2017 : WEDSDAY
ASKING PRICE: [emoji389] TSH: MILIONI #120
DIRECTION ...
Zipo ekar 300
Ktk tarafa ya Lupembe mkoani njombe
Kila ekar ni tsh 100000 (laki moja tu)
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929,0655726929 na whatsapp 0742188846
Kwa mahitaji ya Nyumba na mashamba Dodoma tafadhali wasiliana nasi.
Tuna Viwanja vya matumizi yote.
Viwanja vya makazi
Viwanja vya makazi na biashara
Viwanja vya Taasisi
Viwanja vya viwanda...
Umuhimu wa chai mwilini mwetu,Pata dondoo za afya hapa hapa ili ujue kwanini unatakiwa utumie chakula fulani kwa wakati flani leo ni.
Sababu kuu 3 kwanini unywe chai asubuhi.USIIRUKE tafadhali,Na...
North For Men, bidhaa kwa ajili ya Wanaume.
Katika set hii kuna;
- shaving Foam
- Original Soap Bar
- Del Roll - In - On 48 Hrs
- Del Spray 48 Hrs
- Hair and Body Wash.
SHAVING FOAM;
-...
Wadau habari,
Natafuta dalali wa nyumba au viwanja aliyeko Dodoma mjini. Please naomba unitafute au kama unamfahamu dalali yeyote yule wa Dodoma mwambie anitafute. Nitumie PM nikupe namba...
Habari wadau,
Kwa wale wafanyabiashara wa vifaa vya Simu(mobile accessories) vya aina zote pamoja na simu kwa bei ya Jumla(wholesale/bulk) Karibuni hapa. jumlasupply bidhaa na bei zipo
Mpya kabisa GB 32 imetumika mwezi mmoja ina kila kitu chake no scratch naunza 800,000 kama Title inavyonekana hapo juu mwenye uhitaji anicheki kwa namba 0622 027490
Colour ni nyeusi na ina cover...
Habari wanajukwaa, nyumba ipo ubungo kisiwani jirani na cosmic hotel karibu na barabara ya lami ya kutoka ubungo kuelekea mabibo loyola jirani . Nyumba ipo katika hali nzuri ina vyumba tisa.
Karibuni
Nyumba ina pangishwa
Mahali:kimara stop ova
_______________________
Malipo: laki 3 kwa mwezi (malipo miezi 6)
2 bed rooms kimoja master
Tiles:yes
Gypsum:yes
Parking:yes
Maji na umeme full...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.