Licas Casky
Member
- Aug 7, 2014
- 17
- 4
habarini wanaforum, kama kichwa cha habari hapo juu kinavosema. natafuta business partners wa kufanya nao magazine yangu ambayo tayari nimeshaanza kuifanya nikiwa na wenzangu na mpaka sasa tumefikia asilimia takribani 60. magazine yetu inajihusisha na urembo na harusi. so far tumeshafanya interviews na watu maarufu na wakubwa wanaodili na urembo na maharusi(designers, photographers, MC, makeup artists na wengine wengi). kutokana na mda unavozidi kwenda majukumu na mahitaji yanazidi kuongezeka ndio maana nimefikia uamuzi huu, sitafuti mtu wa kuajiri ila partner kama hawa nilioanza nao. sifa ni chache mtu awe mchapakazi kwelikweli na awe na uwezo wa kuleta changamoto na mbinu mpya za kutatua matatizo. vyeti sio vya muhimu sana ila uwe na ujasiri wa kufanya kazi. uoga ni adui wa maendeleo na elimu bila ujasiri ni sifuri. office zetu zipo nyumbani kwa sasa maeneo ya kimara bucha. kama uko interested tuwasiliane kupitia 0716 026077 au email licas531@gmail.com.