Wedding Planner

Wedding Planner

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,591
habarini wadau

Kwa wale wote wenye shughuli au sherehe zenu na hamjui mfanyaje kuziplan sherehe zenu,
wala hamjui muanzie wapi?
Mimi ni mtaalamu wa kupanga budget ya harusi, sherehe yako jinsi vile utakavyotaka iwe,
kama unapenda sherehe yako iwe ya kitamaduni, kawaida, au ya ukuu Fulani basi nakukaribisha
FL Wedds Planner kwa ajili ya kukupa mwongozo na kukupangia sherehe yako mwanzo hadi mwisho

Kwa wewe ambaye hufahamu ukumbi, mapambo, caterings , mc & djs, pictures, na mengineyo
basi mm nitakupangia vyote hivyo kwa bei nafuu sana na utaweza kuifanya sherehe yako ipendeze na iwe ya mvuto na mfano wa kuigwa.
UTAFURAHI, UTAENJOY, NA UTABURUDIKA KWA HUDUMA ZANGU


Kuhusu MAMc wazuri maarufu hapa nitakupa contacts zao na nitawasiliana nao endapo utanipa
ratiba yako mapema kwani maMc wengi huwa nashughuli na kupata muda inabidi kuwaandaa mapema

Kuhusu mavazi ya sherehe nitakupangia rangi, mpangilio wa rangi nitaudesign uwe kama vile utakavopenda na nitakushauri kama utapenda pia

KARIBUNI SANA WATEJA WANGU

vilevile natengeneza kadi za harusi, keki za harusi karibuni kwa huduma hii pia

usisite kuwasiliana nami kwa KUNIPM au kwa no. 0762 634090 karibuni sana
 

Attachments

  • g4.jpg
    g4.jpg
    57.7 KB · Views: 96
  • keki3.jpg
    keki3.jpg
    24.4 KB · Views: 73
Vipi unaweza kupanga na kuandaa harusi yote kwa pesa zako then utalipwa baada ya harusi kufanyika?
 
Vipi unaweza kupanga na kuandaa harusi yote kwa pesa zako then utalipwa baada ya harusi kufanyika?
hapana sifanyi kwa pesa zangu naonana na wahusika wa shughuili au sherehe kasha wao wananipa budget yao na kutoa pesa naanza kuwaangia vile wanavyotaka wao kulingana na uwezo wa pesa yao

situmii pesa yangu kwani hii ni biashara kama biashara zingine unapokwenda dukani kununua sabuni utamwambia muuzaji nipe sabuni kasha nitakupa pesa yako baadae nikitumia sabuni? la hasha hatufanyagi hivyo unalipia huduma kwanza unayotaka kasha unapewa ile huduma ulioyotaka nadhani umenielewa hapa
 
kabisa na ndo mpango wangu wa kuleta kitu kama hiki nataka nikitangaze kule jf youtube wanitangazie au waniwekee bango juu kwenye page yao jf kama wanavyofanya za vodacom
Hii Biashara ikikua itapunguza sana vikao vya harusi.......
 
KARIBUNI KWA HUDUMA BORA WAPENDWA USITIE HOFU NIPIGIE NITAKUFUATA ULIPO ILA WA MIKOANI MTANITWANGIA SIMU NA EMAIL KUHUSU KUWAPLANIA SHEREHE ZENU
 
Safi saaana dada, me nakuelewa upo vizuri saaaana.
 
Back
Top Bottom