Kipo Madale kwa Kawawa,
Kina ukubwa wa Meter 20x20. Kipo kwenye eneo lililopimwa kwajili ya makazi ya watu. Kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Bei Shilingi Milioni Sita na na laki...
Habari jaman wapendwa poleni na majukumu ya kujenga nchi..
Naomba kuuliza kama kuna yoyote humu anaowajua au anayejua zile yard za magari wanaouza pia kwa mkopo kwa wafanya kazi waajiriwa..yaani...
Nauza friji aina ya GRAM.....ni médium Size,friji hii haigandishi barafu ila inapooza TU
Kwa mawasiliano piga 0715591141 dar
Bei 200000/
Ova
Friji hii hapa
Wakuu hii nyumba ipo Nyegez malimbe kiwanja kikubwa nyumba ya Vyumba vitatu choo sebule jiko ipo karibu kabisa na Chuo cha sauti bei mil 35 kimepimwa kwa mwenye kuhitaji Tafadhali chek me kwa sms...
Habarini wana jamvi,
Chumba cha biashara kinapangishwa Dodoma. Kipo maeneo ya airport mkabala na Chako ni Chako, mlango wake unatazama uwanja wa ndege.
Pia kuna kibanda (removable)...
Niko na kampuni mpya kabisa nchini inayotarajiwa kufanya kazi ambayo haijawai kufanyika nchini katika sector ya advertising....
naitaji mshirika wa biashara nimpe share ya 50% maana naona kazi...
Habari wakuu.
Nina kiwanja changu nauza kilichopo eneo la Tungoma kwa sako karibu na barabara.Eneo hili llote kuna nyumba.Pia kuna huduma za maji na umeme.Ukubwa wa kiwanja ni miguu17 kwa 17(robo...
Kama unahitaji Shamba la Miti ya mikaratusi yenye umri wa miaka mitano linauzwa Mafinga,.Zipo ekari thelathini Na kila moja inauzwa Kwa shilingi milioni mbili Na laki tano(2,500,000/_). Shamba...
CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes zinatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia week ijayo, kwa wale wote ambao wako interested wasiliana na simu hii: +255 713451713 kwa...
Shop for the best Devices like Chargers, USB Cables, Power Banks, Bluetooth Headsets, Bluetooth Speakers and so much more.
Contacts:
Cell phone/whatsapp: 0713086602
Email...
habari wakuu
kama kichwa kinavyojieleza nahitaji mabati used kwa ajili ya kijengea banda
najua kuna walikumbwa na kasumba ya kubomolewa nyumba au vibanda kufakufaana
nipo dar
namba za simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.