Natafuta wanunuzi wa vitunguu maji, shamba la heka mbili

Street Hustler

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,153
4,245
Habarini wakulima na wafanyabiashara ninauza kitunguu maji zipo heka mbili shamba lipo meatu mkoani simiyu vipo tayari kwa kuvunwa mbegu n red bombay,
Kwa wanaofahamu wale wanunuzi wa kenya uganda naomba mtujuze mawasiliano yao.

naomba kujua na bei za masoko sehemu tofauti tofauti mfano ilala, kariakoo, mabibo, temeke, na kwingineko Napatikana kwa 0787485865 au 0717485865

Naombeni ushirikiano wenu

IMG_20170329_134755.jpg
 
Ungefanya timing kidogo around mwezi wa tano Mwezi mtukufu wa ramadhani ungeuza sana.
Ngoja nikuchekie soko zenjiberi linasomaje kwa sasa last time i checked kilo kama 1000
 
Jiandae kisaikolojia kula hasara.Red Bombay a dukani hiyo?vinaoza fasta kinyama.

Ninae dalali wa Ilala vp na mimi napata kidogo?
 
Ebu niulizie ndugu inaweza ikawa nafuu kwetu hyo ya ramadhani vipo vingine vitatoka kipindi hicho
 
Ungefanya timing kidogo around mwezi wa tano Mwezi mtukufu wa ramadhani ungeuza sana.
Ngoja nikuchekie soko zenjiberi linasomaje kwa sasa last time i checked kilo kama 1000
Niulizie ndugu Mana tunahitaji unafuu wa bei ili iww bora kwa mkulima na hyo ya Zanzibar vipo vingine tutatoa Mwezi huo
 
Jiandae kisaikolojia kula hasara.Red Bombay a dukani hiyo?vinaoza fasta kinyama.

Ninae dalali wa Ilala vp na mimi napata kidogo?

Hasara kwa mkulima ishazoeleka ndo Mana tunaomba msaada wa wadau kama nyinyi, cheki nae aseme bei n sh ngapi kama Ana mtu anaeza kuja shamba itakuwa poa sana
 
Kitunguu kina faida lakini kwa eka mbili za RB tegemea chochote kutoka kwa madalali,
Pia unaweza kutuambia changamoto ulizokutana nazo na jinsi ulivyokabiliana nazo kwa faida ya wanajamvi wote
 
Kitunguu kina faida lakini kwa eka mbili za RB tegemea chochote kutoka kwa madalali,
Pia unaweza kutuambia changamoto ulizokutana nazo na jinsi ulivyokabiliana nazo kwa faida ya wanajamvi wote

Naweza pata mwongozo wa bei kwasasa huko mijini kama unazo
 
Back
Top Bottom