mtanzania asiye jielewa
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 179
- 98
Ni kiwanja changu mwenyewe nakiuza nilikinunua mwaka 2010
Nikakata upande nimejenga uliobaki nauuza upana ni hatua za kutembea 25 na urefu pia ni hatua 30. Ni uwanja wa pili kutoka barabarani. Upepo wa kijimwaga. Nipo kivule kwa john fedha