Shinda Gari au Pesa jumla ya $20500

Shinda Gari au Pesa jumla ya $20500

Site imekaa kimagumashi gumashi sana, ni janja janja fulani hv tu wajinga wachache wanataka kuwazidi ujinga wajinga wengi. KakaKiiza usiwaaingize wazako kwenye majuto ujue kuna watu wanaingia mazima!
 
Last edited by a moderator:
Washinde wao wenyewe awana shdaa na.magari

Mbaya zadi n wabongo wanatengeneza feki sites wanawapiga kweli wajinga wajinga
 
Wizi mtuupu,hiyo pesa ni karibia 50m za kibongo.
Hembu tuambie kwanza Ofisi yao ipo wapi hapa Bongo,maana hata hivi karibuni kuna Mbunge alisema kuna Jamaa Jimboni kwake amepigwa mamilioni ya pesa kwa style kama hizi.

Nunua gari kwenye kampuni yenye Branch Hapa Bongo na sivinginevyo
 
Car From Japan Grand Giveaway 2017 fuata hiyo link upate maelekezo zaidi kwan mimi ninaona hata huajasoma unaongelea hisia tu
 
Wizi mtuupu,hiyo pesa ni karibia 50m za kibongo.
Hembu tuambie kwanza Ofisi yao ipo wapi hapa Bongo,maana hata hivi karibuni kuna Mbunge alisema kuna Jamaa Jimboni kwake amepigwa mamilioni ya pesa kwa style kama hizi.

Nunua gari kwenye kampuni yenye Branch Hapa Bongo na sivinginevyo
Hao jamaa ni kweli wapo labda tatizo liwe ni kweli watatoa hizo zawadi?! Na criteria za kupata mshindi ni zipi but wenyewe kama wenyewe sio fraudlent company!!!
 
Back
Top Bottom