House4Rent Nyumba Hizi Ziko Tabata

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
3,079
2,152
Inapangishwa
2Rooms
public Toilet
sitting Room
kitchen
Fence&Parking
slide windows
iko Tabata Kinyerezi Mwisho

Price:200,000Tsh. Per month

cond of Pymnt: (6 month)

2 Apartment NYUMBA zote NI MPYA
Kila nyumba inajitegemea umeme na maji

Dalali yangu ni mwezi mmoja

Kuiona nyumba tsh 10,000, husipoipenda nitakutafutia utakayoipenda kwa hela Hiyohiyo
Mob:+255 718 295 182
______________________________‎
Nitumie Tangazo la ,nyumba,viwanja ,mashamba, magari N.k. Nitatangaza Bure

mob/Wtsp:+255718295182
bc8dbee5e79b347c67dd5e6140853d6f.jpg
 
Yaani unataka upewe laki mbili kwa ajili ya kuonesha nyumba tu.......!! Nyie Madalali Mungu anawaona aiseee ,,,,,,, kwa kipindi hiki hiyo laki mbili mimi sikupi bora nikuachie nyumba yako.
Mbona ameandika elfu 10!au amehariri?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom