HUDUMA ZA KITAALAMU ZA UTAFITI WA MAJI NA UCHIMBAJI WA VISIMA

GreatEngineer

Member
Apr 13, 2017
21
48
Habari zenu wanabodi..
Karibuni sana kwenye huduma zetu kama zinavyoonekana hapa chini.

HUDUMA ZA KITAALAMU ZA UTAFITI WA MAJI NA UCHIMBAJI WA VISIMA

(PROFESSIONAL GROUNDWATER INVESTIGATIONS AND WELL DRILLING SERVICES)

GHARAMA/BEI (COSTS/PRICES IN TSH.)

1. Utafiti wa Maji (Groundwater Investigations)

1,000,000/= Per site (cost of Transport to the site excluded)

2. Uchimbaji (Drilling)

160,000/= per 1metre Depth ( 7’’ including PVCs)
180,000/= per 1metre Depth (8’’ including PVCs)

3. Mobilization & Demobilization (From Mbeya town)
Less than 30km free
More than 30km (negotitiable)

4. Pumping Test
170,000/= per one hour.(Not necessary,but for those who want it can take from 6hours up to 72hours)

NB:1) ALL OUR PRICES ARE OPEN FOR NEGOTIATION.

2) WE ARE CURRENTLY OPERATING AT MBEYA,SONGWE AND NEARBY REGIONS

FOR MORE INFORMATION CONTACT US AT:

E mail: hgwsltd@gmail.com
 
Mko Huu saaana,160,000/meter
Mkuu this is business.Kama uko serious tunaweza kunegotiate.
Pia unaweza kupata punguzo kwenye service nyengine mbali na hiyo ya uchimbaj na kuweka PVCsi.
Shukran kwa comment yako though.
 
Kwa Dar,utachimbaje kwa meter maana huku ni kulaini tofauti na huko
 
Habari zenu wanabodi..
Karibuni sana kwenye huduma zetu kama zinavyoonekana hapa chini.

HUDUMA ZA KITAALAMU ZA UTAFITI WA MAJI NA UCHIMBAJI WA VISIMA

(PROFESSIONAL GROUNDWATER INVESTIGATIONS AND WELL DRILLING SERVICES)

GHARAMA/BEI (COSTS/PRICES IN TSH.)

1. Utafiti wa Maji (Groundwater Investigations)

1,000,000/= Per site (cost of Transport to the site excluded)

2. Uchimbaji (Drilling)

160,000/= per 1metre Depth ( 7’’ including PVCs)
180,000/= per 1metre Depth (8’’ including PVCs)

3. Mobilization & Demobilization (From Mbeya town)
Less than 30km free
More than 30km (negotitiable)

4. Pumping Test
170,000/= per one hour.(Not necessary,but for those who want it can take from 6hours up to 72hours)

NB:1) ALL OUR PRICES ARE OPEN FOR NEGOTIATION.

2) WE ARE CURRENTLY OPERATING AT MBEYA,SONGWE AND NEARBY REGIONS

FOR MORE INFORMATION CONTACT US AT:

E mail: hgwsltd@gmail.com
Mpango mzuri lkn umesahau kitu,,si kila mkulima anajua kiingereza,badili lugha tafadhalu
 
Pump testing 170,000, unatest nini? In maji kama yapo au nini?
 
Kwa Dar,utachimbaje kwa meter maana huku ni kulaini tofauti na huko
Mkuu maelezo haya hapa yamelenga maeneo tunayotoa huduma zetu kwa sasa.Maeneo ya mwambao wa pwani udongo wange na kina chake cha maji ni tofauti sana na hizi nyanda za juu.
 
Back
Top Bottom