Natafuta kiwanda cha mifuko ya plastick ya mahindi

shangoo

JF-Expert Member
Aug 19, 2015
325
361
Wakuu habari na shida na kiwanda cha mifuko ya kuhifadhia mahindi ili nikanunur kwa bei ya kiwandani.

Natanguliza shukrani.
 
Hill Packaging Co. Ltd
Mifuko yao ina ubora wa hali ya juu
Na utapata yenye ubora kulingana na mahitaji yako.
Wako Mapinga Bagamoyo road jiran kabisa na Bunju Dar es salaam
0658444627
 
Bei zao kwa mfuko
 
Nenda pale mbagala zakheem teremka na angalia barabara ya kuelekea kingugi ukimaliza lile jengo kubwa (upande wa kulia) ambalo kwa pembeni yake kuna hiyo packing ya magari ya kingugi na mbele yake kuna kiwanda cha viberiti kiwanda ambacho kinatazamana na kiwanda cha mafuta na hicho kiwanda cha mifuko unayoihitaji
 
Asante mkuu kwa maelezo yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom