Madirisha aluminium yanahitajika 5ft*5ft

bullion

JF-Expert Member
Aug 23, 2014
309
112
Wakuu habari za pasaka,

Yanahitajika madirisha ya aluminium kama heading inavyosema. Bei isizidi 190,000. Mazungumzo mengine yapo.

Mwenye nayo au hardware inayotengeneza anipm

Pasaka njema
 
Being OTE="Yumbayumba, post: 20696383, member: 87075"]Mm ninalo moja lina vioo vyake kabisa[/QUOTE]
Bei gani na size gani
 
Dirisha kumi.Mkuu we nieleze nikiona inafaa nakujapm
Fanya 225000 kwa kila dirisha ila usafr utagharamia.mwenyewe.
Unless upate zali otherwise atakaye kufanyia hiyo kazi kwa 190 atakufanyia kazi mbaya au atakukimbia maana gharama za materials tu shida
 
Fanya 225000 kwa kila dirisha ila usafr utagharamia.mwenyewe.
Unless upate zali otherwise atakaye kufanyia hiyo kazi kwa 190 atakufanyia kazi mbaya au atakukimbia maana gharama za materials tu shida
Asante mkuu
 
5*5 bei hiyo hiyo uliyonayo njoo ulichukue, lipo moja tu lilibaki
Liko wapi tufanye vipimo na kulichukua.Ni jipya au lilishatumika[/QUOTE]
Halijatumika ni jipya, yalikuwa mengine yalitumika moja likabaki ndio hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom